Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kuna machenza mengine utamu wake si wa dunia hii. Unaweza kung'oa mti mzima hata kama uwe tayari una mtu anayeutunza na kuupalilia [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Chezeya utamu wa chenza Mkuu unaweza kumeza hadi mbegu zake LoL!