Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante mkuu. Ndiyo maana hapa hata ligi za mafisi na manyumbu hazipo sana. Hata zikijitokeza zinamalizika kwa amani na watu wanaendelea kugonga likes tu. Mimi nikilikorofisha huko majukwaa mengine na kutolewa ngeu huwa nakimbilia hapa kuja kuuguliza majeraha. Uzi safi kabisa na usiozalisha ban hovyo hovyo...
Hivi kuna aliyewahi kupata ban kwa Uzi huu?
 
Hata mimi sijaalikwa shemeji. Nilitegemea pengine huko kwako nije nikusaidie kuua na kale kanyoka kakorofi ka kwenye veranda lakini kimyaaaa. Nimechemsha birika zima la tangawizi niko hapa nafakamia alone na maisha yanakwenda. Hopefully pasaka yako inakwenda vyema; na uko off leo ukifurahi na "pimbi" wako. Masihi Amefufuka Hallelujah [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mkuu wote tumebaki kungojea mialiko nani ataalika wenzake?
 
*DADA* alienda Salon wakati anasukwa akaingia
*MKAKA* mtanashati, *DADA* akaamua kujaribu
bahati yake.
*DADA*:Mambo?
*KAKA*😛oa.
*DADA*:Mimi na wewe tunaweza kuongea baadae?
*KAKA*:Kuhusu nini?
*DADA*:Nimekupenda nataka nikutoe out.
*KAKA*:Sawa ila nitamwambia nini MKE wangu?
*DADA*:Aah ilo sio tatizo mdanganye tu,mwambie
unakwenda kumtembelea rafiki yako hospitalini.
*KAKA*:Mwambie mwenyewe huyo hapo
anayekusuka,Unajua nini kiliendelea?
Subiri ni chaji simu.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mie Mkuu nilikuwa nimefungua 2 windows kwenye PC. Sasa nikakosea zile picha zetu tamu tamu nikadhani naziweka hapa kumbe nilikuwa naziweka siasani. Kuja kustuka dakika kama 5 hivi zimepita, niliwahi kuzifuta zote zilikuwa nne au tano hivi. Ndani ya dakika 10 MODS wameshafanya yao nikala ban nadhani ya 48 hours au 72 hours.

Hivi kuna aliyewahi kupata ban kwa Uzi huu?
 
Back
Top Bottom