[emoji23] [emoji23] [emoji23]Utanipa mrejesho usije mtengua kiuno
Mimi sio mchoyo karibu na wengine wote karibuni
[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji9] View attachment 731618
Yaaaaay wacha nianze safari ado adoYeeeah!
Issa gud day, nakupikia pilau mbuzi
Poa sana,za wewe?Nimekuham hadi natetemeka [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Niambie pimbi wangu?
Nimekuham hadi natetemeka [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Niambie pimbi wangu?
Hapo inabid kukatiwa bima kabsa kwa wabebajiWale vibonge sasa[emoji16]
Mabonde kuinamaLocation ndo muhimu
Hasara kwako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akiteguka hasara kwa nani?
Kwake[emoji23] [emoji125] [emoji125]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Mabonde kuinama
Uko vizuri kwenye soka.4.Kevin Keagan (Newcastle, mabao 185)
Asikwambie mtu, Newcastle United ya kocha Kevin Keagan ilikuwa matata kwelikweli ndani ya uwanja wakati huo ukikutana nayo, basi jiandae mvua ya mabao. Keagan aliisimamia Newcastle United kufunga mabao 185 katika mechi zake 100 za kwanza alizoiongoza timu hiyo kwenye mikikimikiki ya Ligi Kuu England. Kwa sasa Newcastle ipo chini ya Rafa Benitez, lakini hakuna ubishi, Keagan ataendelea kukumbukwa kwenye kikosi hicho cha St. James’ Park.