Uaminifu ni jambo la msingi na ni chombo pekee kinachofaa ndani ya mahusiano mbalimbali, kama ya biashara, mke na mume, mtu na mchumba, marafiki na familia.uaminifu ni uwezo unaoleta imani kwa mtu, na ni njia ya kukupeleka katika ubora wako.
Si kila mtu anaweza kuaminika, tunatakiwa kuwa makini katika hilo, kwa sababu madhara yake ni makubwa sana. Imani inajengwa na historia ya mtu mmoja ambaye anaweza kuaminika na ni katika sehemu ambazo ameonekana kuwa ni mkweli na mwaminifu.
kitu kimoja cha ajabu sana kuhusiana na imani ni kwamba , inachukua miaka kuijenga, lakini ni dakika kuibomoa.kuna namna nyingi ungeweza kumwamini mtu au la. fuatana nami katika maneno haya yanayoweza kuvutia, na kuamini neno moja inahitaji uvumilivu mkubwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.