Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

6D042AAD-1524-4022-8CF0-32EADA3E006F.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ni kazi ngumu. Kumwongelesha binti wa watu mpaka kufikia akuamini hatimaye umchojoe nguo. Ni process ndefu ndiyo maana hao jamaa wanaamua kupita njia ya mkato na kwenda kununua...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante mkuu ila hizo tafsiri zote nilishapewa.
Kafiri ni neno la kiarabu lenye maana ya "aliyekufuru". Aliyekufuru ni yule aliyemkana Mungu muumba na kuamini viumbe wengine wa vya huyo Muumba. Makaburi, mibuyu, jua, milima, mizimu na hata binadamu. Wakati mwingine hata walioamini huangukia kwenye ukafiri kwa kuwa mbali ya kumuamini Mungu muumba pia huamini mazindiko yao na nguvu nyingine za kishetani
 
Jamaa alimkuta mama na IST yake kapata pancha. Akambadilishia taili. Katika kubadilisha huko akaomba mambo akaambiwa laki moja. Akabembeleza akapunguziwa mpaka elfu 60. Akatafuna mbunye. Baadaye akaenda kwenye baa moja kusindikizia utamu na bia. Hajakaa sawa akamuona mama yule yule aliyemuuzia mbunye kwa elfu 60 anajiuza tena kwa elfu 15 tu. Katika thread yake analalamika kuwa kapigwa elfu 45 za bure na ni afadhali kama angeenda kununua malaya moja kwa moja kwa elfu 15 badala ya huyu aliyempiga elfu 60 akidhani mtu decent kumbe hakuna kitu. Ni thread ya kuchekesha sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aseee, jf full vituko
 
Back
Top Bottom