Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inawezekana ndiyo/siyo na haijalishi sana kwangu. Marafiki zangu Waswahili huwa wananiambia hivyo. Mmoja aliniambia kuwa mtu ye yote ambaye siyo mwislamu ni kafiri. Mwingine akaniambia hapana. Kama unaamini katika Mungu hata kama siyo mwislamu we siyo kafiri bali makafiri ni wale wapagani na wanaoabudu mizimu. Mzee mmoja pale Kongowe katika kijiwe cha tangawizi juzi juzi hapa akaniambia kuwa hata kama wewe ni mwislamu kwa mdomo tu lakini hufuati mafundisho ya mtume kivitendo kama alivyoonyeshwa kwenye Korani basi nawe ni kafiri tu. Sijui ipi ni tafsiri sahihi...ila roomate wangu (Mnigeria) alinihakikishia kuwa miye siyo kafiri...[emoji23][emoji23][emoji23]
Ikiwa unasoma na kuiamini injili, torati, zaburi, wewe si kafiri.
 
We acha tu aisee! Yaani mtu humjui kabisa na wala hamjawahi kuonana! Hivi ni nini kinakushawishi mpaka unafikia hatua ya kushusha boxer yako? [emoji1][emoji1]
Na katika mazingira hayo, kwa vile umemuona ana gari, basi pengine hata kinga hakuna. Halafu unakuta jitu lina mke, mchumba au mpenzi huko nyumbani. Ni ubinafsi wa kupindukia kwa kweli...
 
Denti alisema japo mwalimu kwa kweli alijitolea sana mpaka maua na miziki laini ya Kihindi. Sijawahi kuona mwalimu wa hivyo tangu nizaliwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
9A46E9DE-F3A0-4EFF-907C-C51DA5414BC5.jpeg
 
Mkuu kutongoza siyo kazi ni kuburudisha mdomo tu, kama unavyoimba nyimbo, msikilizaji akingia chaka unafanya kweli[emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ni kazi ngumu. Kumwongelesha binti wa watu mpaka kufikia akuamini hatimaye umchojoe nguo. Ni process ndefu ndiyo maana hao jamaa wanaamua kupita njia ya mkato na kwenda kununua...
 
Back
Top Bottom