Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Sijasoma huu uzi lakini katika Kazi zilizo nishinda ni kutongoza tongoza
Sijasoma huu uzi lakini katika Kazi zilizo nishinda ni kutongoza tongoza
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka
AiseeNitawapenda ndiyo, lakini wasitegemee niishi kwa kuwafurahisha.
I don't give a f*ck.
Inawezekana ndiyo/siyo na haijalishi sana kwangu. Marafiki zangu Waswahili huwa wananiambia hivyo. Mmoja aliniambia kuwa mtu ye yote ambaye siyo mwislamu ni kafiri. Mwingine akaniambia hapana. Kama unaamini katika Mungu hata kama siyo mwislamu we siyo kafiri bali makafiri ni wale wapagani na wanaoabudu mizimu. Mzee mmoja pale Kongowe katika kijiwe cha tangawizi juzi juzi hapa akaniambia kuwa hata kama wewe ni mwislamu kwa mdomo tu lakini hufuati mafundisho ya mtume kivitendo kama alivyoonyeshwa kwenye Korani basi nawe ni kafiri tu. Sijui ipi ni tafsiri sahihi...ila roomate wangu (Mnigeria) alinihakikishia kuwa miye siyo kafiri...[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu kwani wewe ni Kafiri?
Nadhani atakuwa amelala kwa uchovu hasa baada shghuli za mchana za kutafuna vipaja, vipapatio na vidali vya ndege wa pasaka[emoji3] [emoji3]ISIS sijui yuko wapi. Pengine hii picha ina maana katika Egyptology...
View attachment 731839
Nadhani atakuwa amepumzika kwa uchovu hasa baada ya shghuli za mchana za kutafuna vipaja, vipapatio na vidali vya ndege wa pasaka[emoji3] [emoji3]ISIS sijui yuko wapi. Pengine hii picha ina maana katika Egyptology...
View attachment 731839
Andaeitini huwezi kuelewa haya mambo. Kuna mpaka tasnifu za uzamivu katika Anthropolojia zimeandikwa kuhusu haya mambo. Na Gabriel Ruhumbika ni muumini mkuu na anajivunia sana mambo haya. Lakini kwa vile ni uchawi ambao huwezi kuukokotoa kwa hayo makalikyulasi ya akina Isack Newton, unaweza kuamini kama upo au haupo. Ni sawa sawa na mimi kule Usukumani. Siamini kabisa kama watu wanaweza kusafiri kwa kutumia fisi japo inaaminika ndivyo ilivyo.
ShukraniAnytime, ISIS!
Aisee
Hahahahaha, mchepuko umesheheni kila kitu. Nadhani kazi ya tumamba ni kutisha au siyo hivyo[emoji3] [emoji3]Kukodisha lazima kupo. Huo mchepuko una msambwanda wa aina gani mpaka umrestishe mtu? Si utafute mwingine tu? Pwani kweli unamrestisha mtu kwa ajili ya mchepuko? Bagosha!
Jamaa alimkuta mama na IST yake kapata pancha. Akambadilishia taili. Katika kubadilisha huko akaomba mambo akaambiwa laki moja. Akabembeleza akapunguziwa mpaka elfu 60. Akatafuna mbunye. Baadaye akaenda kwenye baa moja kusindikizia utamu na bia. Hajakaa sawa akamuona mama yule yule aliyemuuzia mbunye kwa elfu 60 anajiuza tena kwa elfu 15 tu. Katika thread yake analalamika kuwa kapigwa elfu 45 za bure na ni afadhali kama angeenda kununua malaya moja kwa moja kwa elfu 15 badala ya huyu aliyempiga elfu 60 akidhani mtu decent kumbe hakuna kitu. Ni thread ya kuchekesha sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijasoma huu uzi lakini katika Kazi zilizo nishinda ni kutongoza tongoza
.Haya mambo haya, pengine labda ulikuwepo wakati ule akina Euler wanafanya yao, na sisi wazee wetu wa kale nao walikuwa na Sayansi yao! Ni kwa nini basi hawakuyaweka wazi kama hawa?
View attachment 731845