Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ujumbe mzito toka kwa mzito Zitto
tapatalk_1522627932542.jpeg
 
Mbali na tamko la TEC, maaskofu wa KKKT nao pia walitoa waraka wa ujumbe wa Sikukuu ya Pasaka uliozungumzia masuala ya kiroho na kutaja changamoto tatu na kuzifikisha kwa waumini wake ili ziongeze mzigo wa kuliombea taifa.

Changamoto zilizotajwa katika waraka huo uliopewa jina la ‘Taifa Letu, Amani Yetu’ na kusainiwa na maaskofu 27 wa kanisa hilo nchini, ni hali ya kijamii na kiuchumi, maisha ya siasa na masuala mtambuka likiwamo suala la Katiba Mpya.
Tunasubiri taasisi nyingine tuone maoni yao
 
Sijui ila huwa wanatufuga kwa ajili ya uchawi. Kanatumwa hata kwenye maji ya kwenye jagi tu kanakudabua. Au unapata hamu ya ghafla kwenda ziwani. Hutarudi salama !!!
[emoji3] [emoji3] wanakodisha ama kutumwa kwa maji ya bahari nimrestishe mtu furani anayetaka kunipora mchepuko? [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hizo ni story tu aisee, hazina ukweli wowote!
Andaeitini huwezi kuelewa haya mambo. Kuna mpaka tasnifu za uzamivu katika Anthropolojia zimeandikwa kuhusu haya mambo. Na Gabriel Ruhumbika ni muumini mkuu na anajivunia sana mambo haya. Lakini kwa vile ni uchawi ambao huwezi kuukokotoa kwa hayo makalikyulasi ya akina Isack Newton, unaweza kuamini kama upo au haupo. Ni sawa sawa na mimi kule Usukumani. Siamini kabisa kama watu wanaweza kusafiri kwa kutumia fisi japo inaaminika ndivyo ilivyo.
 
[emoji3] [emoji3] wanakodisha ama kutumwa kwa maji ya bahari nimrestishe mtu furani anayetaka kunipora mchepuko? [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kukodisha lazima kupo. Huo mchepuko una msambwanda wa aina gani mpaka umrestishe mtu? Si utafute mwingine tu? Pwani kweli unamrestisha mtu kwa ajili ya mchepuko? Bagosha!
 
Ni kisa cha mafunzo mengi muhimu kwenye uislam
Aisee...Nilikuwa sijui. Roomate wangu wa enzi zile alinipa Korani nisome. Nikamuuliza kama makafiri tunaruhusiwa kuigusa akawa hana jibu la kuaminika nikaogopa nikamrudishia[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Back
Top Bottom