Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Muumba huwa hakosei [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
445507445_197589.jpg
 
Upendo wa ndugu, majirani, wafanyakazi, marafiki
Unatakiwa kutumia gharama yoyote kujihakikisha upendo kutoka kwa ndugu zako, majirani, marafiki na watu ambao unakutana nao katika mihangaiko yako.
Ukikosea kidogo, ukachukiwa na kila mtu ni lazima maisha utayaona machungu.
Nitawapenda ndiyo, lakini wasitegemee niishi kwa kuwafurahisha.
I don't give a f*ck.
 
Back
Top Bottom