Kweli kabisa.Mapish wanakosea,kuna sehem nilienda wanapika na vichwa pia hawawakaangi kwanza,wao wanakaangiza nyanya na kitunguu kisha wanadumbukiza dagaa na mchuz tele
Kama hudaiwi huna akili....Usipende kukopa
Hakuna jambo linalowakosesha baadhi ya watu amani kama madeni. Wapo waliofikia hatua ya kujiua kwa sababu ya kudaiwa. Licha ya kwamba kila mmoja kuna wakati anakopa, hutakiwi kuiendekeza tabia hii.
My baby[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]That's my girl [emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10]