ukiongelea dagaa walio wengi tunazijua lakini huenda tunakula pasipo kujua faida zake ,Tunapoangalia umuhimu wa dagaa na faida zake katika mwili wa binadamu,tunagundua kuwa uwe maskini, tajiri au bilionea, kama unajali afya yako, dagaa ni muhimu kula kuliko mapochopocho unayokula kifahari. Karibu leo tuzungumzie dagaa..