Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Beu9MW4jC4T.jpg
 
Kwa mashabiki waliokuwa wakishuku taarifa hizo, The Big Boss sasa amethibitishia atatua nchini mwishoni mwa mwezi ujao ili kuwafurahisha mashabiki wake kwa kupiga shoo ya nguvu.

Kupitia video fupi iliyotumwa kwa vyombo vya habari, Ross amewatoa hofu mashabiki wake wanaomsubiria.
 
Vipi Nairobi kwa mara ya kwanza The Big Boss, Rick Ross natua mjini Aprili 28, nitawacheki nawahakikishieni itakuwa pati kubwa ya mabosi, itakuwa ni tamasha isiyo ya mfano itakuwa ni sherehe ya kipekee,” amekata kauli ikiwa ni ziara yake ya kwanza nchini ambapo ameahidi kupiga bonge la shoo litakalosalia kuwa kumbukumbu. Hata hivyo, kwa shabiki yeyote mwenye mipango ya kumcheki mkali huyo akifanya vitu vyake laivu katika Uwanja wa Carnivore Grounds Aprili 28, basi lazima awe tayari kulipia tiketi za gharama kubwa.
 
Lakini, soka ni biashara, hivyo kwenye kila kikosi kinatazamwa nini kimekusanywa au kimetoka ama kwa kuuza wachezaji au kusajili. Utafiti uliofanywa na kampuni ya CIES Football Observatory kuhusiana na thamani ya vikosi, umeweka hadharani thamani ya kikosi cha Man United kwa sasa kulingana na thamani za wachezaji wao zilivyo huko sokoni kwa sasa.
 
Back
Top Bottom