Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

7A4BEA5F-083B-4B27-91B4-F8FFA7681CDB.jpeg
 
Jamaa alimkuta mama na IST yake kapata pancha. Akambadilishia taili. Katika kubadilisha huko akaomba mambo akaambiwa laki moja. Akabembeleza akapunguziwa mpaka elfu 60. Akatafuna mbunye. Baadaye akaenda kwenye baa moja kusindikizia utamu na bia. Hajakaa sawa akamuona mama yule yule aliyemuuzia mbunye kwa elfu 60 anajiuza tena kwa elfu 15 tu. Katika thread yake analalamika kuwa kapigwa elfu 45 za bure na ni afadhali kama angeenda kununua malaya moja kwa moja kwa elfu 15 badala ya huyu aliyempiga elfu 60 akidhani mtu decent kumbe hakuna kitu. Ni thread ya kuchekesha sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani binadamu kuwapa vyeo ni tabu hapo kilicho mpoteza maboya ni perception, pia watu wanao nunua wanaujasiri kweli
 
Haya mambo haya, pengine labda ulikuwepo wakati ule akina Euler wanafanya yao, na sisi wazee wetu wa kale nao walikuwa na Sayansi yao! Ni kwa nini basi hawakuyaweka wazi kama hawa?
View attachment 731845
Euler's identity inasemaje mkuu na applications zake katika maisha ni zipi? Sitaki kwenda kugugo ....
 
Back
Top Bottom