Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji15] [emoji15] [emoji15]
IMG_20180402_131434_621.jpg
 
Duh! Bora chai..
Green tea is the way to go...

Shida ya hizi Coke zero na drinks zingine zenye sukari bandia (hivyo zero calories) wanasema kongosho linashindwa jinsi ya kuzing'amua na kuzishughulikia. Linashindwa kujua kama linatakiwa kuzalisha insulin ama la na baada ya muda hii inaweza kusababisha kisukari. Tafiti nyingi pia zinaonekana kuonyesha kuwa hivi vibadala vya sukari (sugar substitutes) vinaweza kusababisha aina mbalimbali za kansa na pia ni hatari kwa vimelea lishe (good microbes) kwenye utumbo. Splenda hasa hasa imetajwa kuwa ni hatari zaidi na inayosifiwa kuwa pengine haina madhara ni stevia peke yake. Ili kuepuka yote haya tumia asali asilia kijiko kimoja kikubwa kwa kila kikombe cha chai/kahawa kama hutaki sukari. Asali inapoza kurabuka kwa mishipa ya damu (anti inflammation) na haina madhara yanayohusianishwa na sukari wala hivi vibadala vyake.
 
Green tea is the way to go...

Shida ya hizi Coke zero na drinks zingine zenye sukari bandia (hivyo zero calories) wanasema kongosho linashindwa jinsi ya kuzing'amua na kuzishughulikia. Linashindwa kujua kama linatakiwa kuzalisha insulin ama la na baada ya muda hii inaweza kusababisha kisukari. Tafiti nyingi pia zinaonekana kuonyesha kuwa hivi vibadala vya sukari (sugar substitutes) vinaweza kusababisha aina mbalimbali za kansa na pia ni hatari kwa vimelea lishe (good microbes) kwenye utumbo. Splenda hasa hasa imetajwa kuwa ni hatari zaidi na inayosifiwa kuwa pengine haina madhara ni stevia peke yake. Ili kuepuka yote haya tumia asali asilia kijiko kimoja kikubwa kwa kila kikombe cha chai/kahawa kama hutaki sukari. Asali inapoza kurabuka kwa mishipa ya damu (anti inflammatory) na haina madhara yanayohusianishwa na sukari wala hivi vibadala vyake.
Safi mkuu...elimu manufaa hii.
 
Back
Top Bottom