Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MADHARA YATOKANAYO NA MATUMIZI YA MISOPROSTOL

*Misoprostol ni dawa iliyoelekezwa kutumika kwa matumizi yafuatayo:-

1.Wenye matatizo ya vidonda vya tumbo (peptic ulcers)
dawa hii husaidia kuzuia uzalishaji wa asidi ya gastric hivyo kupunguza/kuondoa tatizo.

2.Pia hutumika kwa mama wajawazito wawapo labor, mara nyingi hutumika kwa wale wenye dalili zote za kujifungua lakini njia ya uzazi haijafunguka, hivyo dawa hii kutumika ili kufungua njia (Husaidia kwenye uterine contraction).

Hivyo baada ya mama mjamzito kupewa dawa hii haichukui muda mrefu anajifungua..

******* ***** ********
Lakini kumekuwa na matumizi yasiyo sahihi ya dawa hizi bila kujua kuwa italeta madhara baadaye.

Dawa hizi kwa jina la kibiashara limezoeleka "MISO"
hutumika kinyume na matumizi.

Wajawazito wamekuwa wakizitumia dawa hizi kufanya abortion kutokana na uwezo wake wa kufanya uterine contraction.

Matumizi ya mara kwa mara ya Misoprostol hujenga mazoea na kusababisha miscarriage kwa mama mjamzito..Kila ufikapo umri alozoea kuintafia uumbwaji wa mtoto mimba huporomoka.... Hivyo kupata tabu katika kukuza ujauzito.
 
29715161_166707210813682_5613941775392571392_n.jpg
 
TAARIFA KWA UMMA

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linakanusha vikali taarifa inayo sambaa katika mitandao ya kijamii kuwa kutakuwa na tatizo katika mfumo wa manunuzi ya LUKU kuanzia tarehe 25 Machi 2018 hadi 05 Aprili 2018 , kwamba wateja wanunue umeme wa kutosha katika kipindi hicho.

Taarifa hii si ya kweli, ni taarifa ya uzushi yenye nia ya kupotosha umma , kwani TANESCO haijatoa taarifa yoyote kuhusu hitilafu katika mifumo ya manunuzi ya LUKU.
 
Ikumbukwe kwamba Taarifa kwa umma kutoka TANESCO hazitolewi na mtu binafsi bali Ofisi ya Uhusiano iliyo chini Idara ya Mkurugenzi Mtendaji ambayo ni msimamizi wa utoaji Taarifa za Shirika .

Tunaomba wateja wote wa TANESCO waipuuze taarifa hiyo kwani haina ukweli wowote. Wateja wote mnaombwa kuendelea kutumia huduma za umeme kama kawaida.
 
Back
Top Bottom