Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji28][emoji28]Kurudi darasan ngumu abaki tu yego
Abee mzee wa liverLedada
HuhuhuhuhuIla.....ipo siku.Naona kuna vitu vinachomekewaga,unaishia tu "kama namfahamu!!"
Demisiiiiiiii....aaaaahh.Kazi na dawaaa wahudumu hawawez kukaukaaa hapaaa ukileta bia unachukua na pipi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 732297
Asante sanaJioni njema
[emoji28][emoji28][emoji28],Kwa ajili ya kulima mpunga na matuta ya mihogo/viazi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unako taka nipeleka siendi ng'ooo
MADHARA YATOKANAYO NA MATUMIZI YA MISOPROSTOL
*Misoprostol ni dawa iliyoelekezwa kutumika kwa matumizi yafuatayo:-
1.Wenye matatizo ya vidonda vya tumbo (peptic ulcers)
dawa hii husaidia kuzuia uzalishaji wa asidi ya gastric hivyo kupunguza/kuondoa tatizo.
2.Pia hutumika kwa mama wajawazito wawapo labor, mara nyingi hutumika kwa wale wenye dalili zote za kujifungua lakini njia ya uzazi haijafunguka, hivyo dawa hii kutumika ili kufungua njia (Husaidia kwenye uterine contraction).
Hivyo baada ya mama mjamzito kupewa dawa hii haichukui muda mrefu anajifungua..
******* ***** ********
Lakini kumekuwa na matumizi yasiyo sahihi ya dawa hizi bila kujua kuwa italeta madhara baadaye.
Dawa hizi kwa jina la kibiashara limezoeleka "MISO"
hutumika kinyume na matumizi.
Wajawazito wamekuwa wakizitumia dawa hizi kufanya abortion kutokana na uwezo wake wa kufanya uterine contraction.
Matumizi ya mara kwa mara ya Misoprostol hujenga mazoea na kusababisha miscarriage kwa mama mjamzito..Kila ufikapo umri alozoea kuintafia uumbwaji wa mtoto mimba huporomoka.... Hivyo kupata tabu katika kukuza ujauzito.
Acha tuu[emoji20] [emoji20]Kitoo kala ban[emoji15] [emoji15]
17:1913:33
Asante sanaHappy Easter Monday
Asante kwa taarifa uvumi umekuwa mkubwa sanaTAARIFA KWA UMMA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linakanusha vikali taarifa inayo sambaa katika mitandao ya kijamii kuwa kutakuwa na tatizo katika mfumo wa manunuzi ya LUKU kuanzia tarehe 25 Machi 2018 hadi 05 Aprili 2018 , kwamba wateja wanunue umeme wa kutosha katika kipindi hicho.
Taarifa hii si ya kweli, ni taarifa ya uzushi yenye nia ya kupotosha umma , kwani TANESCO haijatoa taarifa yoyote kuhusu hitilafu katika mifumo ya manunuzi ya LUKU.
Kweli kabisa, ni chache sana mtoto anatoka salama.Cases nyingi za abruptio placenta kichanga hupotea
TayariJamani bombardier yetu imewasili au bado
HahahahaAnytime what's
HakikaThere is no any difference, sote tutaonja mauti.