carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Usijifanye huelewi chenye nazungumza[emoji23][emoji23][emoji23]Unataka SBY aungane naye? Whai? Hau? Wheni? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni ban ya masaa 72 tu. Mwezi mzima ni too much....
Mmmh![emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Si ameaga kabisa jamani?
Yaani nyie. Natamani nyote wawili niwakusanye niwape vimdabuo [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
[emoji23] [emoji23] [emoji23] leo umemkaba gud kabisaUsijifanye huelewi chenye nazungumza[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona ukikonda ndani ya 72hrs hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Lishatolewa. SBY akiondoka utakosa likes kibao ujue ohooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaah pale wala haikua kufuata baba muandish bali ajira mpya iligonga hodi so kisingizio kumfata baba muandishi,basi kutaka kurudi wakabumbulua picha hata ningekua mie nisingerudi nefa(in mwakaleli voice)
Jizazi....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado ana machungu na ukifikiria hali ya hewa shawish kwa kilimo,koromije boy anaishia kuloweka samaki kwenye oven hahaha
Utazikuta tu usijali[emoji23][emoji23][emoji23]Lishatolewa. SBY akiondoka utakosa likes kibao ujue ohooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu,mimi nawapenda sana samaki wakubwa wenye minofu.Samaki huyo. Sangara. Waanzia wapi kumla ili umfaudu vizuri?
???????????????????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]una nini lakini?
Naona dalili za kufuata nyayo za cheupe wa yule muandishi wa humu.
Mwenye kwenu kwaheri oooh[emoji441] [emoji445] [emoji445] [emoji124] [emoji124]
Na vyenye natamani kupigwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woooiiiiYaani nyie. Natamani nyote wawili niwakusanye niwape vimdabuo [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani wewe
Habib na mkewe au mnaongelea nini nyie?Aaah pale wala haikua kufuata baba muandish bali ajira mpya iligonga hodi so kisingizio kumfata baba muandishi,basi kutaka kurudi wakabumbulua picha hata ningekua mie nisingerudi nefa(in mwakaleli voice)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sangulo ooh sangulooo mamaaMkuu,mimi nawapenda sana samaki wakubwa wenye minofu.
Yaani paaaa... Samaki huyu hapa,ziro distansi,viungo vyote vina poteza ushirikiano na akili.Nikunyofoa popote ili mradi saksafoni haitachafuka kwenye matope,mara nyingine kichwa kikubwa kinaenda kuchungulia sehemu ya starehe ya kichwa kipumbavu.... Inakuwa taflani kabisa kwa kweli. Sijui kwanini nimezeeka mapema[emoji134] [emoji134]
Hakika imeenda vizuri kabisaMzima nashukuru.
Habari ya pasaka
Hahahaaa! Nipo
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani wewe
Umefika laki tatu mapema sana. Ukiendelea hivi walioko mbele yako (Mzee wa Ini na mkewe + mzee Rutta) utawawashia indiketa sasa hivi[emoji23] [emoji23] [emoji23] hizi likes hizi nataman zigeuke hela nidowinilodi laki tatu yangu
Mie sijasema maana raha ya ubuyu code[emoji23] [emoji23]Habib na mkewe au mnaongelea nini nyie?