carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Mzima nashukuru.Kabinti kazuri karembo kachuchu[emoji8] [emoji8]
Mzima? Habari ya siku nyingi?
Habari ya pasaka
Mzima nashukuru.Kabinti kazuri karembo kachuchu[emoji8] [emoji8]
Mzima? Habari ya siku nyingi?
Hellerror!
Itakua pia katolik ni kanisa linaloongoza kwa kutoa viongozi wazito nchini ila kkkt walitegemea lowassa atavunja kasumba hio ikashindikanaKKKT maslahi yamepungua kutoka kwa waumini, kwa hiyo familia zao zinasota hamna sadaka! That’s all!
Ooooooh! Mama Africa is gone. RIP....Winnie Mandela is no more. She passed away at the age of 81 YO. RIP Winnie Mandela.
Hata Mimi nauliza tu sijapata majibuJaman bombadia inawasili saa ngap?
Hahahahahaimetekwa na wasiojulikana...
HahahahahaHahahaha
Nasubiri vijembe vya Rais
Kama kawaHe he he he
lazima apige dongo kambi ya Ufipa Kinondoni...
Kafanya nimi tena?Acha tuu[emoji20] [emoji20]
Uko wapi[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Malipo yakojehabari wapendwa napenda kuwashilikisha katika YouTube channel yangu,
SUBSCRIBE like SHARE
C makigo
Karibuni sana
YopGonga kwanza like za kutosha hapa, na sisi tutavamia kwenye channel yako kwa wing kama nyuki.