Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,759
Mbona wajomba na mashangazi hawatajwi??18 Ninyi wake, watiini waume zenu kama ipendezavyo katika Bwana. 19 Ninyi Waume, wapendeni wake zenu msiwe na uchungu nao. 20 Ninyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote; maana jambo hili lapendeza katika Bwana.