Ujumbe muruaToa nawe upate
Isome hiyo mkuu tuone ujumbe ulivyoWakolosai 3:18-20
he he he heHahahahaa!!!!
Kachukue tu uwe unakaangalia.
Mwanamke figga
Hahahaha [emoji3] [emoji3] [emoji3]He he he he
Mafaili yangu yananambia wenye pasi wanakuwaga na nyodo kweli kweli.
We huna nyodo.
18 Ninyi wake, watiini waume zenu kama ipendezavyo katika Bwana. 19 Ninyi Waume, wapendeni wake zenu msiwe na uchungu nao. 20 Ninyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote; maana jambo hili lapendeza katika Bwana.Isome hiyo mkuu tuone ujumbe ulivyo