Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
MkuuFamilia mama ni baba, mama na watoto. Haya ya wajomba na mashangazi ni nyongeza tu....
Hahahaha!! wajukuu wa malafyale mna tabu kweli kweli.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dagaa(usipa au malankhoma) ni mboga ya watu wavivu.Mwanaume anatakiwa aje na mboga nyumbani kama mbelele,mbasa,ngosyola(kwa sisi wajukuu wa machifu),mbagale,magege,mbofu,engongobhe na vitu kama hivyo.Sio unaleta ubhutapi au ngelwa!!!
Wajomba na mashangazi nao wana familia zao. Familia-mama ni baba, mke na watoto. Wajomba na mashangazi ni extended family....Mkuu
Familia ya Kiafrika utaondoa wajomba na mashangazi??
Haahaha! Sawa sawaVyote viwili.
Ila mkao zaidi
Mkuu hapa umeandika nini, hakuna hata mboga moja nafahamu hapa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dagaa(usipa au malankhoma) ni mboga ya watu wavivu.Mwanaume anatakiwa aje na mboga nyumbani kama mbelele,mbasa,ngosyola(kwa sisi wajukuu wa machifu),mbagale,magege,mbofu,engongobhe na vitu kama hivyo.Sio unaleta ubhutapi au ngelwa!!!
Hii imetulia sana.