Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wajomba na mashangazi nao wana familia zao. Familia-mama ni baba, mke na watoto. Wajomba na mashangazi ni extended family....
Ndio, neno mzazi linamaanisha baba au mama, lakini shangazi na mjomba nao ni wazazi (wana watoto ambao huwaita baba/mama),,
Nuclear family..baba + mama + watoto
Ina maana familia ikiwa na mchanganyiko wa baba+ mama+ watoto+ wajomba+ shangazi ndo inakuwa extended family..

Lakini neno mzazi ni mtu yeyote ke/me mwenye uwezo wa kuwa na mtoto( kuzaa) + kulea.
 
Sense.
 
Back
Top Bottom