Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20180402_161044_733.jpg
 
Ndio, neno mzazi linamaanisha baba au mama, lakini shangazi na mjomba nao ni wazazi (wana watoto ambao huwaita baba/mama),,
Nuclear family..baba + mama + watoto
Ina maana familia ikiwa na mchanganyiko wa baba+ mama+ watoto+ wajomba+ shangazi ndo inakuwa extended family..

Lakini neno mzazi ni mtu yeyote ke/me mwenye uwezo wa kuwa na mtoto( kuzaa) + kulea.
Hata sijaelewa. Ila kwa Waafrika karibu kila mtu na kila kitu ni familia. Hili lina faida na hasara zake....
 
Back
Top Bottom