Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa msaada.

Hisia hufuata matendo. kama ukifanya bila aibu kujifunza kuamka mapema unaweza kufanya hivyo bila ya kuwaambia rafiki zako. pia jisikie kuwa hukufanya kosa ila ulijitengenezea tabia hio na kwamba una uwezo wa kutengeneza tabia mpya ya kuamka mapema.
 
2.Amua Kitu Ambacho hutakiruhusu kikupate

Kati ya asilimia 50 ya mahusianon yanakuwa na hisia tofauti, kwa maana kwamba hayo mahusiano ni chanzo cha kuwaza vizuri au vibaya . Wenza wetu na wanafamilia mara nyingi wanazifahamu hizia zetu, na hufahamu namna ya kuzikataa
 
Fikiri wakati ambapo mwenza wako anapoleta maumivu yake na kutaka kukuumiza wewe au familia inakusema vibaya kuhusu mwonekano wako, au mwenza wako kukuambia makosa ambayo yalikwisha pita miaka mingi.
 
3.Chagua malengo ya muhimu .

Kuna watu hutamani kuwa na malengo mengi, mfano, kukimbia, kujifunza lugha mpya, kutaka kuwa na misuli kama wengine, kununua gari nyingine, kujenga nyumba nyingine. vitakuchanganya, chagua kitu cha muhimu kifanye ,vingine vitafuata kidogo kidogo ili usijione kama umeshindwa. Fanya vile vyenye kipaumbele kikubwa.
 
4.Fahamu kwamba kuna vitu hutaweza

Kama utaangukia kwenye mtego wa kujiona hutimizi majukumu yako kwa mke, wazazi au huwezi kubadilisha ratiba yako ambayo imekuwa na mambo mengi ya kukuzidi lazima utakuwa na wasiwasi.
 
5.Jisamehe mwenyewe kwa makosa yaliopita.

Ni makosa gani yanakusumbua, maamuzi gani ulifanya na sasa unajuta? Fikiria maumivu uliyoyapata wakati unajitahidi kutoka kwenye hali hio ili ufike hali nzuri.
 
Anza kusema kwa sauti ukiwa mwenyewe kuwa umejisamehe kwa kutumia muda vibaya, kutumia pesa vibaya, kwa kutokuwa mwaminifu. Kuongea mwenyewe inasaidia kwa kiasi kikubwa kuondoa woga, wasiwasi uliopo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dagaa(usipa au malankhoma) ni mboga ya watu wavivu.Mwanaume anatakiwa aje na mboga nyumbani kama mbelele,mbasa,ngosyola(kwa sisi wajukuu wa machifu),mbagale,magege,mbofu,engongobhe na vitu kama hivyo.Sio unaleta ubhutapi au ngelwa!!!
Baasi nikadhan umetaja majina ya dawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom