Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,759
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huwa nasikia tu watu wakiyavisha sifa hiyo.
Asante kwa taarifa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni masuala ya kifamilia zaidi mkuu. Atarudi baada ya mwezi mmoja hivi na wiki kadhaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Bikozi zote ni [emoji39] [emoji39][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] why
Mwanamke wa shokaWinnie Mandela is no more. She passed away at the age of 81 YO. RIP Winnie Mandela.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28], poti ya wenyewe.
Iko sahihiItakua pia katolik ni kanisa linaloongoza kwa kutoa viongozi wazito nchini ila kkkt walitegemea lowassa atavunja kasumba hio ikashindikana
RipOoooooh! Mama Africa is gone. RIP....
Siasa za Kenya shida sanaBw Miguna ndiye aliyeidhinisha kiapo cha Bw Raila Odinga alipokuwa anajiapisha kuwa 'Rais wa Wananchi' mwezi Januari.
Bw Miguna Miguna alijaribu kurejea Kenya Jumatatu lakini akazuiwa kuingia baada yake kudaiwa kutowasilisha pasipoti ya Canada ambayo ilitumiwa kumsafirisha kwa nguvu hadi Canada.
Wakili huyo alisisitiza kwamba ni raia wa Kenya na hafai kuzuiwa kurejea.
Taarifa zinasema Bw Miguna, ambaye pasipoti yake ya Kenya ilitwaliwa na polisi kabla ya kuondolewa kwake Kenya mwezi jana, alikuwa ametakiwa kuwasilisha ombi la kupata visa ya kukaa Kenya kwa miezi sita kwa kutumia pasipoti hiyo yake ya Canada.
Niko byee BAK, hofu kwakoNi aje Pyaar? Mzima weye?
RipYes Mkuu she is no more.
Niko byee BAK, hofu kwako