myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
20:34
Zimepoa...Kwanza ulikwenda wapi?Aaaah wapi[emoji23][emoji23]
Hii inasaidia nini Beef Lasagna?
Njoo kwakweli kananinyima amani ya roho[emoji19][emoji19]Marijani Rajab...
Hivi bado unataka nije nikuulie kale kanyoka kakorofi ka kwenye veranda?
Kama namuona kitoo huko aliko anacheka hatari[emoji23][emoji23][emoji23]Machungu tele moyoni kweli kitoo umekula ban,sina tofauti na mpofu hata njia sion,nani wa kuniita dadiii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bado tu hamjakaua? Wanaume wa pwani wamekashindwa au kanamilikiwa na mtu?Njoo kwakweli kananinyima amani ya roho[emoji19][emoji19]
Huko aliko anatamani ku comment anabaki kusikitika tu[emoji23][emoji23]Kama namuona Jakitoo vimacho vyake vimemlowa kwa machozi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Raha ya kuwa "mgeni" Jf ina kera sana
Jaman[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama namuona kitoo huko aliko anacheka hatari[emoji23][emoji23][emoji23]
Naombea hii ban isiishe mweee
Hahahahaha yanga jeNaipenda simbaaa shabiki wa damuuuu
Kesho myKunyumbaniiii
Jion ya kupeanaJiran ake carba anakwambia jioni ya burudani
Jiran jiran ana manenocarbamazepine na Numbisa. Hebu njooni muone jirani yenu huku alivyofurahi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]