Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hahahahahahahah lol! Koromije boy katika ubora wake kwi kwi kwi 🙂

Jizazi....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Koromije boy mbwembwe nyingi mtandaoni tu. In real life hana makuu kijana wa watu. Hustling mpaka kieleweke. Very focused...money loves me I touch new money everyday Mbagala peninsula is my home wallahi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mugongo mugongo shurti 2018 uonyeshe sura na mugongo mwaka 47 haikuwa hivi

23417263_161549951109978_4293345696737656832_n.jpg
 
Una uhakika na hili unalosema au na wewe umeamua kushabikia kila kitu anachosema Raisi hata kama ni kibaya ??? Achana kabisa na haya mambo ya dini Mkuu yana mzizi mrefu sana hapa nchini na ni makubwa sana kuliko unavyoweza kudhani: Ungekuwa unafahamu hata kidogo yalitaka kusababisha nini hapa nchini tokea mwaka 1980-1983 naamini usingetaka hata kuchangia mada za hivi.....Sambamba na kuyashabikia hivi (Acha mkuu)
Mkuu tuelimishe kidogo nini kilitokea
 
Back
Top Bottom