Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

21372270_347826775660724_8276597795540959232_n.jpg
 
Ikisha kosewa siku ya kwanza,siku ya pili ni rahisi kusahihisha.Maisha ya mtandaoni ni maisha ya ndoto za watu wengi,yanaandikwa/kusimuliwa matamanio kuwa halisia.
Kuna wengine wanatamani waone mafanikio hayo ili wajifunze au wahakiki kama ni kweli.Kweli inakuwa si kweli,kwanini asikimbie?
Tulio pigika tunatafuta mawazo mapya kwa tunao waamini wanaweza kumjenga mtu,hata akinicheka kwa jinsi alivyo nikuta,muhimu anipe elimu ya kunitoa nilipo.
Nilipo maliza six,sikwenda chuo.Nilizurura sana tena kijinga jinga.Baada ya kupigika nikaangukia kwenye utingo wa mabasi. Abiria wengi niliokuwa nawapakilia mizigo,walikuwepo na niliosoma nao (Mkwawa ilikuwa na wanafunzi 2,800) wakiwa wananishangaa nini kimenipata. Baadae nikaona isiwe tabu,nikajiunga na kampuni ya ulinzi.Kirungu,radio call mkononi huyooo kulinda.... Hatimaye chuo.

"Maisha mazuri sio mali,bali nafsi ikiwa na amani"
Kweli mkuu
 
Back
Top Bottom