Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Siyo kweli !!!Naam Carba jiwe na katiba wapi na wapi. Jiwe kazi yake ni kuumiza tu ili uwe majeruhi au hata kurudisha namba.
Kuna mawe ya asili na mawe ya kuchonga...
Siyo kweli !!!Naam Carba jiwe na katiba wapi na wapi. Jiwe kazi yake ni kuumiza tu ili uwe majeruhi au hata kurudisha namba.
Sante mwantumuPolee silpii
Leo we na Numbisa hamko sawa. Mnahitaji maombi [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]tena ni zile mnato zenye utelezi mwingi na zinavuta kwa ndani,aaaah life goals lazima zisubiri braza[emoji125][emoji125][emoji125]
Siyo kweli !!!
Kuna mawe ya asili na mawe ya kuchonga...
Mh!!!Anaenda kupozeshewa injini....
Mwandiko unafanana[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi hata sio nyanya
Waii[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hajui kuwa huwa hajibizani na mortal beings...Don't ask why she is goddess
tena ni zile mnato zenye utelezi mwingi na zinavuta kwa ndani,aaaah life goals lazima zisubiri braza[emoji125][emoji125][emoji125]
Hahahahahahcarbamazepine na Numbisa. Hebu njooni muone jirani yenu huku alivyofurahi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumeza dawa shemejiKumeza dawa masaa manne? Au ulienda kumezeshwa dawa? Kuna tofauti kubwa !!!
Salama jirani..Habari ya jumatatu usiku jirani
Tuyaache haya mkuu. Tule likes tu..Ok hili sasa ni jiwe lipi la asili au la kuchonga?
Huu msemo wa injini nimeujulia kwenye huu uzi, kabla sijaujua basi kuna siku kaka/baba mmoja akaniuliza "Vipi lakini njini inapashwa moto, nikawa sielewi,, nikamjibu kwa mshangao, Injini!!! Sikuelewa kabisa..[emoji28][emoji28]Unaenda poza injini[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna namna na namna ya kumeza dawa Mkuu. Dawa nyingine shurti uimeze kwa masaa mengi ili iweze kufanya kazi mwilini ipasavyo, vinginevyo mgonjwa hatapata ahueni. Kumaliza dose nzima muhimu sana Mkuu. 🙂🙂🙂
SijambooooooMs Jr hajambo