Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dow Jones imeporomoka kwa 700 points baada ya Trump kuishambulia kampuni ya Amazon kwamba hailipi kodi ya kutosha na China kuiwekea USA vikwazo vya kibishara vyenye thamani ya $3 billion na wanasema wanaweza kuongeza thamani ya vikwazo hivyo vya kibiashara. Ikumbuke vikwazo vilivyoweka na USA kwa China vina thamani ya $60 Billion.
 
Kuna namna na namna ya kumeza dawa Mkuu. Dawa nyingine shurti uimeze kwa masaa mengi ili iweze kufanya kazi mwilini ipasavyo, vinginevyo mgonjwa hatapata ahueni. Kumaliza dose nzima muhimu sana Mkuu. 🙂🙂🙂

Kumeza dawa masaa manne? Au ulienda kumezeshwa dawa? Kuna tofauti kubwa !!!
 
Back
Top Bottom