myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
22:00
Headlights -eminem[emoji444]Mocking bird-Eminem[emoji445]
Another round ft Chris brown[emoji444]FAT JOE
Sawaaaaaa palipo na mke hakuna kinavhoharibikaaSawa Demiss mwambie kuna ajira ya nguvu hapo kwa jirani zetu. Naye yuko vizuri sana kwenye idara hii.
[emoji120][emoji120][emoji120]Hii kitu ilinishinda. Nilipiga PUFF kama wiki hivi halafu nikaona haina faida yoyote ile nikaamua kuachana nayo wakati ule wala sijui madhara yoyote ya uvutaji sigara. Leo hi namshukuru sana Mungu kwa kuachana nayo labda nami ningekuwa ni mmoja wa chain smokers.
KweliJumanne Mkuu Jumatatu inayeya taratibu
HahahahaIsidingoooView attachment 732609