Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaa!
Kuna utii na kuna neno "Upendo"
Mwanamke kaamriwa amtii mumewe, asioneshe dharau kwa mumewe kwa vile kutokumtii mume ndo mwanzo wa machafuko katika ndoa.

Utii ni silaha mahali popote, sio kwenye ndoa tu. Utiifu huleta upendo na upendo huleta utiifu

UTIIFU NA UPENDO HUTEGEMEANA.

Mwanaume katika Biblia kaamriwa kumpenda mkewe, kwa maana upendo ndio silaha kuu katika ndoa, mume akimpenda mke, nae mke hurudisha upendo kwa kuwa tayari ana utii.
Na ndipo furaha hujengwa ndani ya nyumba.
"Msiwe na uchungu nao"
 
Black is always BEAUTIFUL

26340337_134450100689857_4720430381294157824_n.jpg
 
Back
Top Bottom