Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamaa yetu jiwe kadanganya tena leo kwamba mbona hakukuwa na waraka wa maaskofu kuhusu mauaji ya kibiti? Kitu ambacho si kweli waraka huo umewekwa humu. Pia kadanganya jingine kwamba utoaji wa zaka makanisani umepungua kwa sababu mafisadi hawapo tena, Askofu Shoo kakanusha kwamba si kweli utoaji wa zaka makanisani haujapungua. Jingine kadai Ndege zinailetea heshima nchi. Sasa ndege ambazo ndani ya miaka miwili tu zimeshaingiza hasara ya 223.1 billion kwa walipa kodi zinaileteaje nchi heshima? Ni heshima kwa nchi kuwa na ndege ambazo ni mzigo kwa walipa kodi Mkuu!?

Wakuu kwenye siasa kuna nini Leo? Nimemiss povu la eneo hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…