Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
False Prophets
Hata waolewaji nao matatizo tupu !!!Waoaji wameadimika vyuma kukaza si mchezo.
Kweli, hakuepukiki.Liza na wewe ulizwe
Yule anaekunywa dawa..Jirani yupi? Nina majirani wako wengi....
JPM is the worst President in the history of ou country
Hivi eeh?Kweli
Mzee baba, niaje mkuuNawapenda sana
AMUN RAMuwe na usiku mwema wote
Haswa..Hivi eeh?
Safari nyingine mkuu jaribu kwenda huko huko jukwaani ukaoge mapovu ya kutosha. Huku sijui kama kuna wenye sabuni za Omo sana sana naonaga mmoja tu basi. Hutafaudu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu kwenye siasa kuna nini Leo? Nimemiss povu la eneo hilo
Wengine wanakuwa wagumuHaswa..
MhWengine wanakuwa wagumu
Salaam dadakeItabidi nifanye hivyo
Pengine ni kwa sababu anafuata ile kanuni ya "waacheni wamalizane wao kwa wao"...
Nakuona haupo nyuma na siasa.Hili halina ubishi Mkuu. Nilitamani sana kauli yangu kwamba huyu jamaa ni janga la Taifa siku moja nije kuikana hapa jamvini nakuomba radhi lakini naona imekuwa kweli kabisa na sasa pia anaua wale wote wanaomkosoa tu na wengine kuwafunga wakati wanatumia haki na uhuru wao kama vilivyo ndani ya katiba yetu.
You are entitled to your opinion sir. Actually it is your constitutional right !!!JPM is the worst President in the history of ou country
Aisee sijui. Mimi mwenyewe nilitoka. Kamuulize pimbi wake mei bi anajua [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Yule anaekunywa dawa..