Duh!Aisee sijui. Mimi mwenyewe nilitoka. Kamuulize pimbi wake mei bi anajua [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Napenda siasa ila I hate politicians with a passion. Dem blood suckers !!!Anayewamaliza ni yeye. Siri taratibu imeanza kufichuka Mkuu.
Kweli tena
HahahaaHili halina ubishi Mkuu. Nilitamani sana kauli yangu kwamba huyu jamaa ni janga la Taifa siku moja nije kuikana hapa jamvini nakuomba radhi lakini naona imekuwa kweli kabisa na sasa pia anaua wale wote wanaomkosoa tu na wengine kuwafunga wakati wanatumia haki na uhuru wao kama vilivyo ndani ya katiba yetu.
Nakuona haupo nyuma na siasa.
Mwakaleli kuna nini jamani? Usije ukasema hapa ni UK [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️One of the best Easter photo.
[emoji7][emoji7][emoji7]View attachment 732634
One of the best Easter photo.
[emoji7][emoji7][emoji7]View attachment 732634
Mkuu, ni kama vile ulikuwa umesubiria kutoa jibu ukiwa umejiandaa kabisa. Safi sana !!!Siipendi kabisa siasa Pyaar walijaribu MACCM kunivuta nikasepa ila kwenye kukemea maovu, udhalimu na dhuluma zinazofanywa dhidi ya Watanzania na Tanzania siwezi kukaa kimya. Natimiza haki yangu niliyopewa kikatiba ya kukemea maovu yote nchini
"Tujenge Utamaduni wa kuthibiti Viongozi wetu kama wanavunja sheria za nchi, TUSIOGOPE. Mkianza na mkiwa na woga I PROMISE YOU mtatawaliwa na dictators I PROMISE YOU mkiogopaogopa namna hii nyinyi Wabunge, nani wote na kusema Mzee wanakuwa wakali then you're making absolutely_____ that you'll be under a dictatorship." Baba wa Taifa.
Kuhamia wap tena?Jirani unahama kiti?
Mkuu, ni kama vile ulikuwa umesubiria kutoa jibu ukiwa umejiandaa kabisa. Safi sana !!!
Me mwenyewe hata sijui,nimejikuta naongea tu[emoji23]Hivi ni nini kinaendelea humu? [emoji1]
Nakuona haupo nyuma na siasa.
Jirani yako alikuwa anakutafuta. Nilimwambia akamuulize Pimbi wako. Kaishiwa "chumvi" naona...Kuhamia wap tena?
Kweli mkuuNdiyo ukweli wenyewe Mkuu, ukiujua ukweli kuhusu kile ambacho unakiamini hata siku moja hutapata shida kujibu swali lolote lile.
Mwalimu na siasa anafundisha. Ni wewe tu na roho yako [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Na wewe ni mwanasiasa? Nina allergy kali na hao watu! [emoji1]
Hahahaha! Lenzi mbinuko.Hawa nao wameiga warembo kuanza kuonyesha makalio yao kwenye picha!? Woooyoooo!