Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asikudanganye mtu,kukosoa kutamu kuliko kukosolewa. Wakosoaji wote wakikosolewa wana maka kwa ukali mithili ya moto
Najua. Hata wanaharakati wetu watukufu wa pande zote mbili ukijaribu kuwapinga kidogo tu mishipa ya shingo inawatoka na mapovu utayaoga tena ya kutosha tu. Ni kama vile wanajikinza wenyewe. Sijui hata kama wanajua wanachopigania au ni utashi wa matumbo tu...Mi huwa najikalia pembeni tu. Nachokoza kidogo namwagiwa povu huyoo natimka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…