Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata mimi jana nilisumbuka kwa masaa 14.Ukifika kwenye miji midogo unachungulia hivyo hivyo mpaka ufike. Filamu za kwenye mabasi ni kero chaaa!!! Jana nimeona bongo muvi Jambazi kavamia ofisini ameua na ameacha alama ya unyayo wake una damu. Nikiangalia simu haina network
Nakuambia mambo yote kwenye like tu hapa na nurudika ndio nipo Moshi
 
Back
Top Bottom