ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Lushoto hiyo eeehMagoroto forest[emoji7] [emoji7] View attachment 732897
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Pray
NdioLushoto hiyo eeeh
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Ndio
Shida kuu ni mapovu. Otherwise uko sahihi...Kuna baadhi ya siku unalazimika kugonga likes hapa mpaka kusahau maeneo mengine. Si vibaya angalau kusikia yanayoendelea huko ukiwa hapahapa
Inawezekana huo mguu unamuuma kaupoozesha kwenye maji. Jaribu kuongea naye. Angekuwa ni mwanao ungefanyeje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Inawezekana huo mguu unamuuma kaupoozesha kwenye maji. Jaribu kuongea naye. Angekuwa ni mwanao ungefanyeje?
Unafikiri ni kwa nini kafanya hivyo? Ukorofi? Ushamba? Kutoelewa kanuni za afya?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee hata kama ndo kuupoozesha kwenye maji ila sio kwenye sufuria alafu baadae alipikie[emoji52]