Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwa wapenda muziki. Hii ni kweli?
Wengi ni ushamba na kutoelewa kanuni za afya japo kuna wengine wanafanya makusudi kama komoa+ kiburi.Unafikiri ni kwa nini kafanya hivyo? Ukorofi? Ushamba? Kutoelewa kanuni za afya?
Hili suala la kuishi vyema na wasaidizi wetu wa ndani linatakiwa kuzingatiwa kwakweli..Unafikiri ni kwa nini kafanya hivyo? Ukorofi? Ushamba? Kutoelewa kanuni za afya?
Wacha nikautafute huo wimbo[emoji125]Kwa wapenda muziki. Hii ni kweli?
View attachment 732938
Usisahau kuleta mrejesho...Wacha nikautafute huo wimbo[emoji125]