Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Naunga mkonyoHili suala la kuishi vyema na wasaidizi wetu wa ndani linatakiwa kuzingatiwa kwakweli..
Unavyomtreat vibaya makusudically, kumbuka nae ana nyama, nae huhisi maumivu kama wewe mwajiri wake unavyohisi maumivu pale unapotendewa kinyume na unavyostahili kutendewa..
Mwisho wa siku hivyo ndo visasi anavyoweza kulipiza kwamaana hawezi kukutenda kama ulivyokuwa ukimtenda.
Tena ni afadhari amalizie hasira zake kwenye hiyo misufuria, kuliko kufanya kitu kibaya zaidi.
Watu wana roho mbaya wanawatreat watoto hawa kama watumwa. Wengine ukiwaona yaani mpaka unawaonea huruma. Nao inafika mahali wanachoka; na wanaamua kulipiza kisasi kwa njia yo yote waiwezayo kwa sababu ni nature ya binadamu kujilinda. Huyo kaweka mguu kwenye sufuria ya kupikia, hujui anachokifanya huko jikoni. Upendo....Hili suala la kuishi vyema na wasaidizi wetu wa ndani linatakiwa kuzingatiwa kwakweli..
Unavyomtreat vibaya makusudically, kumbuka nae ana nyama, nae huhisi maumivu kama wewe mwajiri wake unavyohisi maumivu pale unapotendewa kinyume na unavyostahili kutendewa..
Mwisho wa siku hivyo ndo visasi anavyoweza kulipiza kwamaana hawezi kukutenda kama ulivyokuwa ukimtenda.
Tena ni afadhari amalizie hasira zake kwenye hiyo misufuria, kuliko kufanya kitu kibaya zaidi.
Umelegea au we mgumu? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Hakika kuna kiukweli
Hili suala la kuishi vyema na wasaidizi wetu wa ndani linatakiwa kuzingatiwa kwakweli..
Unavyomtreat vibaya makusudically, kumbuka nae ana nyama, nae huhisi maumivu kama wewe mwajiri wake unavyohisi maumivu pale unapotendewa kinyume na unavyostahili kutendewa..
Mwisho wa siku hivyo ndo visasi anavyoweza kulipiza kwamaana hawezi kukutenda kama ulivyokuwa ukimtenda.
Tena ni afadhari amalizie hasira zake kwenye hiyo misufuria, kuliko kufanya kitu kibaya zaidi.
Nasikia kulala tu hapa waiiiiUmelegea au we mgumu? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️