Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naunga mkonyo
 
Watu wana roho mbaya wanawatreat watoto hawa kama watumwa. Wengine ukiwaona yaani mpaka unawaonea huruma. Nao inafika mahali wanachoka; na wanaamua kulipiza kisasi kwa njia yo yote waiwezayo kwa sababu ni nature ya binadamu kujilinda. Huyo kaweka mguu kwenye sufuria ya kupikia, hujui anachokifanya huko jikoni. Upendo....
 
Ahsanteni sana. Yaani mie mpaka huingia huruma jinsi ya baadhi ya wenzetu wanavyowanyanyasa hawa watu utadhani si binadamu wenzao. Kuamka saa 10 za usiku na hawalali hadi sita saba za usiku mshahara kiduchu na anaambiwa atakula nyumbani lakini kula yenyewe ni mabaki ya chakula cha wenye nyumba. Baadhi ya watu wana roho mbaya sana kusema kweli.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…