Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

best-full-hd-car-logos-wallpapers-pics-wallpaper-cave-of-laptop.jpeg
 
Watu wana roho mbaya wanawatreat watoto hawa kama watumwa. Wengine ukiwaona yaani mpaka unawaonea huruma. Nao inafika mahali wanachoka; na wanaamua kulipiza kisasi kwa njia yo yote waiwezayo kwa sababu ni nature ya binadamu kujilinda. Huyo kaweka mguu kwenye sufuria ya kupikia, hujui anachokifanya huko jikoni. Upendo....
Kweli kabisa, yatakiwa tuishi nao kwa upendo,, haya ni maisha tu.
 
Back
Top Bottom