We na KK bwana. Mnanifurahishaga sana na utani wenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kichwa ndo kasomea hiyo fani wengine wabeba vifaa tu.
Mara moja moja siyo mbaya Mchina....Kwa wanawake na wanaume wapendao vitambi hii menu inafaa sana.