Don't be a boring boyfriend ...surprise your girlfriend ,count her stretch marks .Be like,come here you sexy zebra.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The reason am still single and not married is because
sitaki mtu anavuta blanketi Usiku anafanya nikuliwe na mosquito, nipate malaria alafu nikufe. Issa death trap[emoji33][emoji5]
Mlinzi wa Uhispania na Chelsea Marcos Alonso, 27, anasema kuhangaika kwa timu yake msimu huu imesababishwa na wao kukosa 'uendelevu' na 'bahati' uliowasaidia awali chukua tuzo ya ligi ya Premiere msimu uliopita. (Star)
Mmiliki wa timu ya Chelsea Roman Abramovich hajafurahishwa na jambo la klabu kukosa kucheza katika ligi ya Champions lakini anasita kumfuta kazi meneja Antonio Conte,ambaye maebakia na mwaka mmoja katika mkataba wake yenye thamani ya paundi milioni 9.5.(Express)
Derek McInnes, Craig Shakespeare, Michael Appleton, Dean Smith na Graham Potter wako katika orodha ya kuchaguliwa kuwa meneja wa West Brom manager katika majira ya joto. (Times)
Meneja wa Manchester City Pep Guardiola atakuwa na timu dhaifu dhidi ya mechi na Manchester United Jumamosi hii, ambapo kishindo ingewapatia tuzo ya Premier League. (Expres
Timu ya Paris St-Germain wakotayari kumpatia mlinzi Tottenham Toby Alderweireld, 29, mkataba anayoutaka wa paundi milioni 10m-kwa kila msimu kwa miaka mitano wakati Mbelgiji huyo anatarajiwa kuondoka Spurs baada ya mazungumzo kuhusu makubaliano mapya yaliisha. (Mail)