mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Sijambo mkuu habari ya weweMzee wa like za asubuhi hajambo?
Sijambo mkuu habari ya weweMzee wa like za asubuhi hajambo?
Kwema mkuu niajeMzee wa liver kwema huko?
YapG'morning Liva.
Kumekuchaa!
Long time sana wakati wa chai maharage napanda kwenda mwenge walinipiga mia Mbili hela ya kulipa tuition roho iliuma balaa
Amun Raamun ra
Ndio maana Messi kaamua kuziachia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaa! Ana ka Forest reserve.
My Queen amefanyaje tena mchinaISIS,
Hapa ni sehemu ya kupumzikia sio sehemu ya kuchemsha vichwa ndo maana hakuna vurugu wala kutukanana.
Sehemu ya siasa ipo lakini watu wanatapanya mambo ya siasa kila sehemu kama vile jukwaa la siasa limejaa.
Hapa kila mtu ana itikadi yake na si rahisi kumbadirisha kwa namna yoyote ile,
Najua siasa ni kama ulevi wa pombe kali, mtu akilewa husema chochote bila kujali matokeo yake.