ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Mzee wa like za asubuhi hajambo?Morning Mkuu
Mzee wa like za asubuhi hajambo?Morning Mkuu
DuMh! hili nalo ni neno! Amewahi kutia neno kuhusu miili inayookotwa ufukweni coco beach? amewahi kutia neno kuhusu kupotea kwa Ben Saanane? Amewahi kutia neno kuhusu kutekwa na kuteswa kwa Roma na wenzie? Amewahi kutia neno kuhusu kwanini Serikali haichunguzi shambulizi la Lissu kwa miezi minane sasa? Amewahi kutia neno kuhusu kwanini Lissu halipwi haki yake ya matibabu ambayo anastahili kama Mbunge!?
Je, ni kwa sababu zipi amekuwa kimya kuhusu haya? KULIKONI?
Limekuwa Jiwe JuuJiwe walilolikataa waashi......
Vyuma tena hahahahahaWaoaji wameadimika vyuma kukaza si mchezo.
Udumu daimautu na uzalendo wetu udumu
Mkuu wao kwa waoPengine ni kwa sababu anafuata ile kanuni ya "waacheni wamalizane wao kwa wao"...
Kwa wotehaki na usawa
Daimaamani na upendo utawale
Baada ya pasakajua linachomoza na matumaini mapya
Na kwenyu piaasubuhi njema
Lakini kuna mengine anafanya vizuriHili halina ubishi Mkuu. Nilitamani sana kauli yangu kwamba huyu jamaa ni janga la Taifa siku moja nije kuikana hapa jamvini nakuomba radhi lakini naona imekuwa kweli kabisa na sasa pia anaua wale wote wanaomkosoa tu na wengine kuwafunga wakati wanatumia haki na uhuru wao kama vilivyo ndani ya katiba yetu.
Gr8 mkuuMzee baba, niaje mkuu
Amun RaAMUN RA
Constitutional right nchi ipi mkuu US amaYou are entitled to your opinion sir. Actually it is your constitutional right !!!
amun raHahahaha
Yatakushinda tu ndugu yangu, anyway yamesha kushinda!
Kweli kabisaUbaya hauna kwao wala hauna mwenyewe[emoji441][emoji445]
Mhhhhhh weka kule kwenye siasa uone povu lakeHahahaa
Umenifurahisha hapo mwanzo, nakumbuka hata mimi nilikuwa nawaambia watu simuombei afeli lakini atafeli.
Hayuko fit ku hold such a high office of the land.
Jamaa yaan ana lack kila kituuuu! Sja wahi ona kwa kweli