Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Koma kumtusi rais wetu!
Tumemchagua and his there to stay for 8 years or more!
Huu sio uzi wa siasa, we iceman d vipi?
Humpendi rais wetu hama nchi, that simple!
Eeee!
ISIS,
Hapa ni sehemu ya kupumzikia sio sehemu ya kuchemsha vichwa ndo maana hakuna vurugu wala kutukanana.

Sehemu ya siasa ipo lakini watu wanatapanya mambo ya siasa kila sehemu kama vile jukwaa la siasa limejaa.

Hapa kila mtu ana itikadi yake na si rahisi kumbadirisha kwa namna yoyote ile,
Najua siasa ni kama ulevi wa pombe kali, mtu akilewa husema chochote bila kujali matokeo yake.
 
Back
Top Bottom