Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

rai.jpg
 
Isis punguza maneno makali jamani.
Mbona wengi wamezungumzia siasa humu jana?ungewakanya wote
Hao wengine wako kwenye ignore list yangu!
Sijui walicho andika!
Uwa ina niuma sana kuona vijana badala ya kuwaza mambo ya maendeleo tunajikita kwenye mambo yasiyo na faida na yanayo turudisha nyuma!
Impact ya kumtusi Rais ni kubwa sana kwenye ulimwengu wa roho!
 
Bw Miguna ndiye aliyeidhinisha kiapo cha Bw Raila Odinga alipokuwa anajiapisha kuwa 'Rais wa Wananchi' mwezi Januari.
Bw Miguna Miguna alijaribu kurejea Kenya Jumatatu lakini akazuiwa kuingia baada yake kudaiwa kutowasilisha pasipoti ya Canada ambayo ilitumiwa kumsafirisha kwa nguvu hadi Canada.
Wakili huyo alisisitiza kwamba ni raia wa Kenya na hafai kuzuiwa kurejea.
Taarifa zinasema Bw Miguna, ambaye pasipoti yake ya Kenya ilitwaliwa na polisi kabla ya kuondolewa kwake Kenya mwezi jana, alikuwa ametakiwa kuwasilisha ombi la kupata visa ya kukaa Kenya kwa miezi sita kwa kutumia pasipoti hiyo yake ya Canada.
Afrika imejaa visa, vituko na visasi vya kila aina
 
ISIS,
Hapa ni sehemu ya kupumzikia sio sehemu ya kuchemsha vichwa ndo maana hakuna vurugu wala kutukanana.

Sehemu ya siasa ipo lakini watu wanatapanya mambo ya siasa kila sehemu kama vile jukwaa la siasa limejaa.

Hapa kila mtu ana itikadi yake na si rahisi kumbadirisha kwa namna yoyote ile,
Najua siasa ni kama ulevi wa pombe kali, mtu akilewa husema chochote bila kujali matokeo yake.
Mi nashangaa hii wisky imetoka wapi....
 
Hata hivyo, walifanikiwa usiku wa kuamkia Jumatano.
Bw Miguna asubuhi aliandika kwenye Facebook kwamba aliamka na kujipata yuko Dubai na kwamba anahitaji matibabu.
Mwanasiasa huyo alisema alisindikizwa na afisa wa idara ya ujasusi na kwamba amemuona daktari uwanja wa ndege.
Bw Miguna alisisitiza kwamba hatasafiri kwenda popote ila kurejea Nairobi.
Ujinga mtupu
 
Back
Top Bottom