myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
poleni wasafiri woote
Nakuona mzee wa saksafoni ndefuTutumie raslimali zetu vizuriView attachment 733171
Na hizo pete!!huyo lazima atakuwa mtu wa mazingaombwe...
[emoji137]Natafuta wa kubet nae mechi ya kesho na ya weekend. Naniii tu betttttttt
Mzee baba kwema? Habari ya majukumuNakuona mzee wa saksafoni ndefu
Andjul sema neno hapo maana ndo mambo yako hayo au nimekosea?Mungu aliumba mtu kwa mfano wake.View attachment 733195
Mnasifu wakulima nyie mwaishi mjini tu.poleni wakulima woote, kilimo ndio uti wa mgongo...
Nzuri mkuu kwema?Mzee baba kwema? Habari ya majukumu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Imani zetu zidumishweView attachment 733193
Kweli tupukila mtu ana umuhimu wake
Wamechoka sana haopoleni mlio kwenye foleni za usafiri