[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu ni mwema,tupo vizuri. Habari ya huko?ATM ya ex wake inamhusu nini? Safi sana Msukuma kwa kumkomesha huyo mpiga mizinga...
Kwema mkuu?
Jamaa mwili mkubwa lakini muongo balaa...Hahahaha facebook bana
Na ziendeleelikes ziendelee
Ziendelee tulikes ziendelee
Uendelee daimaupendo uendelee
Viwe nasi siku zoteamani na umoja wetu
Na waangamizwewabaya wetu Mungu anawaona..
Na watu wotehaki na usawa wetu
Kama zamaniutu na uzalendo wetu urudi...
Safi sanakila jambo na wakati
Na hizo pete!!huyo lazima atakuwa mtu wa mazingaombwe...
Instagram jiji kubwa sana
16:5016:00
Jioni baada ya pasakasiku inaelekea jioni